Ukiwa kijana unatakiwa ubebe jukumu la kuikomboa jamii yako kwa kutumia Nguvu, Uelewa na Elimu uliyoipata. Haina maana kuitwa msomi unayekula na kulala vizuri mijini wakati jamii unayotoka wanalala kwenye ngozi na kula mlo mmoja wa mashaka, Tumia elimu yako ufanye mapinduzi katika jamii yako.