Ukiwa kijana unatakiwa ubebe jukumu la kuikomboa jamii yako kwa kutumia Nguvu, Uelewa na Elimu uliyoipata. Haina maana kuitwa msomi unayekula na kulala vizuri mijini wakati jamii unayotoka wanalala kwenye ngozi na kula mlo mmoja wa mashaka, Tumia elimu yako ufanye mapinduzi katika jamii yako.
Tuesday, March 22, 2011
Mbunge mtarajiwa wa Solwa wa Kwanza kulia ndugu Kashinje Masanja,mbunge mtarajiwa wa serengeti daktari Grayson Nyakarungu aliyeshika taa pamoja na Mhasibu wa Sido Tawi Mwanza ambaye pia ni mbunge mtarajiwa wa jimbo la Misungwi wote kupitia CHADEMa wakiwa tayari kwa maandamano ya amani jijini mwanza wakiwa wamewasha taa kuuelezea umma kuwa umeme Tanzania ni tatizo pamoja na wapenzi wengine wa mageuzi nchini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
hongera sana wanablog wa blog hii. taa lazima ziwashwe mchana! Dr Nyakarungu mbunge mtarajiwa, je aliishi kibaha?
Post a Comment