Saturday, March 5, 2011

Mfano wa nguvu ya umma ni huu

Wananchi hawa walikubali kutembea umbali wa kilometa 15,kutoka nyakato ya buzuruga hadi uwanja wa furahisha, tarehe 24-2-2011,je serikali inadhani wote hawa hawajui wanachokifanya?Taa iliwashwa mchana na kijana Grayson Nyakarungu.


Hiki ni kikosi kidogo tu cha wanamapinduzi wa Tanzania.


Kutumia nyenzo uliyonayo kuunga mkono mapambano dhidi ya unyang'anyi wa mafisadi, ndio jadi ya wanaharakati, vijana hawa walitumia pikipiki zao kufanya maandamano ya wanaharakati mwanza, kupinga ongezeko la gharama za maisha.


No comments: